KAMOSAGE AUDIO RECORD
TUNATOA HUDUMA YA RECORDING KWA GHARAMA ZIFUATAZO
Audio Recording 600000/= Choir (Album)
Audio Recording 100000/= Bongo Flavor (Single)
Audio Recording 100000/= Tangazo
Kutengeneza beat 70000/= Bongo flavor
Kutengeneza beat 30000/= Kwaya
Kampuni hii ilianzishwa 15/04/2008. Lengo la kuanzishwa kwa studio hii kwanza kabisa ni kusogeza huduma katika wilaya, Mkoa wa Geita kwani wasanii wa nyimbo za Injili na Bongo flavor walikuwa wakipata shida ya kusafiri kwa umbali mlefu kwenda kufanya recording. Pia kampuni ya Kamosage Record iliweka mikakati ya kuweka vifaa bora na vyenye sifa ya kuendana na soko la Africa nzima na kufanya vizuri katika shughuri za kuinua wasanii nchini Tanzania.
Tupo maeneo ya shule ya msingi kalangalala Geita.
CONTACT
Box 12 Geita Tanzania.
+255 756 281842 – 0787 889934 – 0717 925642 - +255 282520318
E-mail: kamosagepro@gmail.com
TANZANIA
Huduma zitolewazo na kampuni hii ya Kamosage Record ni bora na zenye kulenga soko la kimataifa
0 comments:
Post a Comment