Msanii selengo (Ben) akiwa na peter phinias wakiwa katika harakati za
kufanya shooting ya movie ya THE MISTAKE VISION. Kwa sasa movie hii ipo
madukani mnakalibishwa sana kuitazama ni movie inayotoa mafundisho
mazuri ndani ya jamii.
Tuesday, September 9, 2014
The Mistake Vision
3:15 AM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment