Bongo Movie

Msanii selengo (Ben) akiwa na peter phinias wakiwa katika harakati za kufanya shooting ya movie ya THE MISTAKE VISION. Kwa sasa movie hii ipo madukani mnakalibishwa sana kuitazama ni movie inayotoa mafundisho mazuri ndani ya jamii.

Hili ni cover linalopatikana katika moviue ya the mistake vision
Moja ya picha inayomwonyesha Shenaizer ( Hawa Ismail) akiwa kwenye uzinduzi wa movie ya The Mistake vision

Msanii Shilinde (Suleiman Mayunga) akiwa saloon  katika harakati za kufanya shooting ya movie ya SUGAR CANE. Kwa sasa movie hii ipo kwenye maandalizi na itapatikana madukani hivi karibuni.



Pichani ni masanii Michael deus akiwa katika moja ya shooting  katika movie ya SUGAR CANE.


Msanii Prince (Peter Phinias) akiwa na msanii mwenza Zanisha (Hawa Ismail) wakiwa katika shooting ya movie ya Sugar Cane ambayo  itatoka hivi karibuni.


0 comments:

Post a Comment