Prince Peter Phinias akiwa na Zanisha (Hawa Ismail) katika moya ya scene kali ya Movie ya Sigercan. Kiukweli movie hii imeandaliwa kikamilifu na watu wenye ubunifu na ujuzi wa kutosha. Movie hii inatengenezwa na kampuni mbili ikiwa ni Genius Motion picture ikishirikiana na Kamosage Production. Tunapenda kuwaomba mashabiki wetu wa movie za bongo watoe hisia zao na michango yao ili kazi hii iwe ni movie ya kuigiwa.
Tuesday, September 9, 2014
Sugercane
3:54 AM
1 comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
This is incredible
ReplyDelete