Tuesday, September 9, 2014

Sugercane

Prince Peter Phinias akiwa na Zanisha (Hawa Ismail) katika moya ya scene kali ya Movie ya Sigercan. Kiukweli movie hii imeandaliwa kikamilifu na watu wenye ubunifu na ujuzi wa kutosha. Movie hii inatengenezwa na kampuni mbili ikiwa ni Genius Motion picture ikishirikiana na Kamosage Production. Tunapenda kuwaomba mashabiki wetu wa movie za bongo watoe hisia zao na michango yao ili kazi hii iwe ni movie ya kuigiwa....

Sugar Cane Movie

Msanii Shilinde (Suleiman Mayunga) akiwa saloon  katika harakati za kufanya shooting ya movie ya SUGAR CANE. Kwa sasa movie hii ipo kwenye maandalizi na itapatikana madukani hivi karibuni....

The Mistake Vision

Msanii selengo (Ben) akiwa na peter phinias wakiwa katika harakati za kufanya shooting ya movie ya THE MISTAKE VISION. Kwa sasa movie hii ipo madukani mnakalibishwa sana kuitazama ni movie inayotoa mafundisho mazuri ndani ya jamii. ...

Monday, September 8, 2014

Graphic Design

Hizi ni baadhi ya kazi za graphic design zilizo fanyika katika kampuni ya kamosage production. ...

Sunday, September 7, 2014

Kamosage Production

kamosage production ni kampuni inayo husika na kutengeneza video, film mbalimbali, pia tunatoa mafunzo ya computa. ...